->

Friday, March 27, 2015

NEW VIDEO | Chaba – HAIJATOSHA (Official Music Video)

c n d 

NEW VIDEO | ICE PRINCE (@iceprincezamani) – MATUMINA

ice2 


Thursday, March 26, 2015

Shetta na Kcee wa Nigeria kwenye hii video mpya.

shetaa
Baada ya Kerewa aliyofanya na Diamond Platnumz kufanya vizuri nje na ndani ya Tanzania, Shetta amekutana na msanii kutoka Nigera Kcee na kufanya collabo iliyopewa jina Shikorobo. Itazame hapa video ya wimbo huu

Baada ya miaka 5,Ludacris arudi mitaani kufanya video mpya ‘Call Ya Bluff’ itazame hapa

ludacris-cyb
Siku sita kabla album yake mpya Ludaversal  kuingia mtaani Ludacris ametoa video mpya “Call Ya Bluff” iliyofanyika kwenye mitaa ya kawaida. Ludaversal ni album yake mpya inayotoka baada ya ukimya wa miaka mitano na wameshirikishwa wasanii Usher, Big K.R.I.T. na Miguel.


Peter Msechu na remix ya Sophia, Nimekusogezea

SOFIA 
Peter Msechu ameamua kuongeza ladha ya wimbo wa ‘Sophia’ wake Ben Pol ambao kwa sasa unafanya vyema katika vituo mbalimbali vya habari na kuurudia kwa mara ya pili.

Nakukaribisha hapa kuusikiliza..

Umeiona video mpya ya Vanessa Mdee ft. K.O wa South Africa? ninayo hapa..

V 1
Sifa nyiiiingi zipo pia kwa V Money a.k.a Vanessa Mdee ambae ni mkali wa bongofleva kwenye hits kama ‘come over’ ‘closer’ ‘safari’ na nyingine ambazo zimemfanya awepo bongoflevani na sasa katuletea hii mpya kafanya na rapper K.O wa South Africa.

Tuesday, March 24, 2015

Bila Young Money, Tyga anang’ara kwenye video ya ’40 Mill’.

tyga-40-mill-video
Baada ya kumaliza ziara ya “Between the Sheets Tour” na Chris Brown na Trey Songz  sasa rapa Tyga ametoa video ya wimbo uliotayarishwa na Kanye West na Mike Dean “40 Mill” kutoka kwenye album yake ya The Gold Album: 18th Dynasty.
T-Raww  ameongoza hii video mwenyewe na humu anaonekana amezungukwa na...

Video mpya ya J Cole kama Filamu,itazame hapa


Rapa J. Cole ametoa video yake iliyotengenezwa kwa mfumo wa filamu “G.O.M.D.” kutoka kwenye album yake mpya 2014 Forest Hills Drive.

Jason Derulo avunja rekodi ya Justin Timberlake na hii video.jason-derulo-want-to-want-me

Jason Derulo amelowana majasho kwenye video yake mpya ya wimbo mpya “Want to Want Me” iliyotayarishwa na director wa Ayo ya Chris Brown  Colin Tilley.Ni wimbo uliotengenezwa kwa ladha ya muziki wa miaka ya 80 na umevija rekodi ya Justin Timberlake katika nyimbo za top40 zilizochezwa kwenye radio.


Listen/Download | NEW AUDIO: Bonz feat Jux (@JUXofficial) – MY ANGEL

bonz coverpage 

Listen/Download | NEW AUDIO: Stamina ft. Fid Q – Like Father Like Son

artist_2715a327b4c5ab9fb252940f6292a32b3a7.jpg 

Listen/Download | NEW AUDIO: Saraha – YERERE

COVER_resized 

Msanii Saraha ametoa wimbo wake mpya – YERERE! wimbo huu umechanganya style ya kiulaya na style ya kiafrika. Saraha anasema amechanganya kiswidish na kiswahili ili kuleta fleva na hapo wote wanakaribiana! Producer aliyetengeneza wimbo huu anaitwa Jacob Czitrom, ni swedish house producer.

HII HAPA>>> https://www.youtube.com/watch?v=tvOJQpf9-rs 
NI LINK YA VIDEO YA WIMBO HUU YERERE

NEW VIDEO | Tyga – 40 Mill (Official Music Video)

tyga-40mill-final