Dvoicer: PICHA:IZZO B AKIZINDUA NGOMA YAKE MPYA BALL PLAYER ON CLOUDS FM

Msanii wa Bongo Fleva kutoka Mbeya city maarufu kama Izzo Busness siku ya leo baada ya kutambulisha rasmi ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la Ball player,sasa Izzo B alikuja na kitu cha champagne.
Wakati tunaiachia ngoma hiyo mpya Izzo B kupitia mtandao wa Instagram aliandika "Leo tunaibless ngoma na Champagne koz we r ball players,"
No comments:
Post a Comment