->
HEADLINES

Tuesday, March 31, 2015

Kila wiki anatoa wimbo, hii video mpya ya Future.

future-commasAkiwa anashikilia ule msimamo wake wa kutoa kazi kila wiki, msanii Future  ametoa video mpya “F*ck Up Some Commas”  kutoka kwenye mixtape yake ya October. Kwenye video wapo Lil Boosie, Young Scooter, Metro Boomin, na Curtis Williams.



No comments:

Post a Comment