Mwanamziki wa Bongo Fleva Linah Sanga leo
asubuhi amekula shavu la kuwa balozi wa kinywaji cha JEBEL FULL
KIPUPWE. Akiwa katika ofisi za Serengeti Breweries Limited msanii huyo
alidondosha wino wa mkataba huo huku akiwa pembeni na Managing Director
wa SBL Ndugu Steve Gannon
Pia Linah amekula mkataba wa mwaka mmoja
na kampuni fulani hivi ambayo atakuja kuitamka yeye mwenyewe chini ya
mameneja wapya na kampuni hiyo itamghamia kuanzia muziki wake pamoja na
video yake mpya anayoenda kuifanya South Africa. Kampuni hiyo imesema
inatarajia kutoa shilling Million 270 kwa mwaka huo mmoja watakaokuwa na
Linah.
No comments:
Post a Comment