->
HEADLINES

Tuesday, March 31, 2015

Video,Diamond Platnumz Kafumua nyingine na Khadija Kopa, iko hapa


diamond mpya 
Hii video mpya ya Diamond Platnumz ya wimbo aliofanya na malkia wa mipasho Tanzania Khadija Kopa ‘Nasema Nawe’ .Baada ya kufanya video kwenye nchi tofauti kama Afrika Kusini na Nigeria, sasa amefanya video nyingine Tanzania na director mtanzania Hanscana.

No comments:

Post a Comment