Mrembo mwingine kwenye Bongo Fleva, Dayna Nyange kwa mara nyingine amerudi kwenye spika zako..
Kama uliimiss sauti yake nikupe tu hii good news kwamba leo ameachia collabo mpya aliyofanya na msanii Nay Wa Mitego, ngoma inaitwa ‘Nitulize’, producer ni yule yule ambaye Nay anamtumia kufanya nae kazi nyingi, Producer Mr T Touch…
Msikilize Nay na Dayna kwenye hii collabo yao mpya
No comments:
Post a Comment