Dvoicer: DULLY JOKATE NA AY MAPENZI NI SUMU
Baada ya kufanya poa na kuendelea kuhit kila kona kwa ngoma yake
aliofanya na wakali wawili wa bongo fleva, Ommy Dimpoz na Diamond, Dully
ameshajua nini kitafata baada ya miezi mitano ijayo, ambapo leo hii
amesema, yuko mbioni kuikamilisha na kuiachia video ya wimbo mpya
utakaofata mwezi wa sita au wa saba, akiwa amewashirikisha Joketi na AY,
ambayo kashaipa jina la "mapenzi ni sumu""nimeamu kumshirikisha Joketi kwasababu nimegundua ni muimbaji na pia ni mrembo anaeweza kuvutia watu wengi sana, wakubwa wadogo na wa rika zote, sababu tayari ameshajitengenezea CV nzuri, na Ay ni mwanamziki ambae ameshafanya na wanamziki wengi sana wa nje, mziki wangu unaweza kufika mbali, hata akimfungua AY ataona na video niliyofanya nae na itaweza kufika mbali.


No comments:
Post a Comment