
Msanii wa Bongo Fleva kutoka Mbeya city maarufu kama Izzo Busness siku ya leo baada ya kutambulisha rasmi ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la Ball player,sasa Izzo B alikuja na kitu cha champagne.Wakati tunaiachia ngoma hiyo mpya Izzo B kupitia mtandao wa Instagram aliandika "Leo tunaibless ngoma na Champagne koz we r ball players,"

No comments:
Post a Comment