->
HEADLINES

Thursday, March 21, 2013

Dvoicer: BIFF LA NEY WA MITEGO NA NIKKI MBISHI LAFIKA PABAYA

Ddvoicer: BIFF LA NEY WA MITEGO NA NIKKI MBISHI LAFIKA PABAYA:
 Biff linaloendelea kati ya Rapper Nikki Mbishi na Ney wamitego, linaelekea pabaya hali ambayo imefikia kutukanana kupitia katika status za huduma ya Blackberry (BBM), mida hii kupitia kupitia bbm ya Ney wa mitego ameandika status inayoonekana hapa chin
                                       
Sababu hasa ya Ney kupandwa na hasira kiasi hiki bado hakijajulikana kwasababu nimejaribu kumtafuta na simu yake haipatikana. kitakachoendelea utakipata hapa as soon as info zikitufikia

No comments:

Post a Comment