->
HEADLINES

Tuesday, March 24, 2015

Bila Young Money, Tyga anang’ara kwenye video ya ’40 Mill’.

tyga-40-mill-video
Baada ya kumaliza ziara ya “Between the Sheets Tour” na Chris Brown na Trey Songz  sasa rapa Tyga ametoa video ya wimbo uliotayarishwa na Kanye West na Mike Dean “40 Mill” kutoka kwenye album yake ya The Gold Album: 18th Dynasty.
T-Raww  ameongoza hii video mwenyewe na humu anaonekana amezungukwa na...
wanawake wazuri, pesa na starehe zote ila mwisho anaonekana kwenye jeneza akiwekewa uwa jekundu la waridi kabla ya kuonyesha ujumbe wa“Fame is the devil.”
The Gold Album,ilitakiwa kutoka Jan. 27 ila imezuiwa na YMCMB.


No comments:

Post a Comment