->
HEADLINES

Tuesday, March 24, 2015

Jason Derulo avunja rekodi ya Justin Timberlake na hii video.



jason-derulo-want-to-want-me

Jason Derulo amelowana majasho kwenye video yake mpya ya wimbo mpya “Want to Want Me” iliyotayarishwa na director wa Ayo ya Chris Brown  Colin Tilley.Ni wimbo uliotengenezwa kwa ladha ya muziki wa miaka ya 80 na umevija rekodi ya Justin Timberlake katika nyimbo za top40 zilizochezwa kwenye radio.


No comments:

Post a Comment