->
HEADLINES

Friday, March 13, 2015

NEW MUSIC:Yemi Alade FT Dil - ‘Temperature’




Katika kusherehekea siku yake ya kuzaliwa mwanamuziki Yemi Alade ameamua kujipa zawadi kwa kutoa video ya wimbo wake mpya unaoitwa ‘Temperature’ akimshirikisha Dil ambao ameurekodia jijini London Uingereza.
Wimbo huo ni moja ya vibao vikali kutoka ndani ya albam yake ya ‘King of Queens’
Nakukaribisha hapa kuitazama.
 http://i0.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2015/03/alade.jpg

No comments:

Post a Comment