->
HEADLINES

Sunday, March 22, 2015

Uliusikia wimbo wa LEO LEO- Jokate Feat. Ice Prince? Unaweza kuusikiliza hapa

IMG_20150320_235441-560x600
Tumezoea kumuona katika video mbalimbali akipewa shavu kimtindo, ‘Kings & Queens’ ya AY, baadae tukamsikia kwenye ‘Kaka na Dada’ aliyoshirikishwa na Lucci, jana ilikuwa birthday yake, naona kaona aitumie siku hiyo rasmi kutangaza anaingia kwenye muziki.
Hapo namzungumzia Jokate Mwegelo ana wimbo wake mpya ‘Leo Leo‘ ambao aliuachia jana katika show ya XXL.
Tunaona mastaa wa Bongo waliohit ndio...
wanafanya collabo na Wanigeria, Jokate kaanza na collabo Nigeria moja kwa moja- Feat Ice Prince.
Producer ni Mbongo wetu Tudd Thomas.
IMG_20150320_235441-560x600

No comments:

Post a Comment