->
HEADLINES

Wednesday, April 8, 2015

Collabo nyingine.. Dayna Feat. Nay wa Mitego- ‘Nitulize’

Mrembo mwingine kwenye Bongo Fleva, Dayna Nyange kwa mara nyingine amerudi kwenye spika zako..
Kama uliimiss sauti yake nikupe tu hii good news kwamba leo ameachia collabo mpya aliyofanya na msanii Nay Wa Mitego, ngoma inaitwa ‘Nitulize’, producer ni yule yule ambaye Nay anamtumia kufanya nae kazi nyingi, Producer Mr T Touch
IMG-20150403-WA0058

Msikilize Nay na Dayna kwenye hii collabo yao mpya

No comments:

Post a Comment