->
HEADLINES

Wednesday, April 1, 2015

Navy Kenzo wamerudi tena mtu wangu, hii MPYA inaitwa ‘Visa’- Feat. Young Dee (Audio)…

safe_image 
 Navy Kenzo ni moja ya makundi machache ya Bongo Fleva ambayo yanafanya vizuri kwa sasa.. ngoma zao kama Moyoni, Usinibwage, I Just Wanna Love You na nyingine zao ziko kwenye list ya zilizofanya poa.
Safari hii wamekuletea hii collabo mpya waliomshirikisha Rapper Young Dee inayoitwa ‘Visa’ huku producer aliyetengeneza ngoma hiyo ni Nahreel.
Kusikiliza wimbo huo bonyeza play hapa chini…

No comments:

Post a Comment