->
HEADLINES

Wednesday, April 8, 2015

Rapa Kendrick Lamar ametoa video mpya iliyofanyika mitaa ya kwao “King Kunta”,itazame hapa

king-kunta
Rapa Kendrick Lamar  ametoa video mpya ya “King Kunta” iliyotayarishwa na director  X iliyofanyika kwenye mitaa aliyozaliwa ya Compton. Album yake mpya To Pimp a Butterfly bado ipo namba moja kwenye chati za Billboard 200 ambayo mpaka sasa imeuza kopi 447,000....


No comments:

Post a Comment