->
HEADLINES

Friday, March 20, 2015

NEW MUSIC: Bobi Wine safari hii kaimba Kiswahili - ‘Paradiso’ (VIDEO)

http://i2.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2015/03/bob.jpg 
Watu wengi wamekuwa wakidhani kwamba kwa muziki wa sasa hivi inabidi msanii aimbe muziki wa mapenzi ili atoke, lakini zipo nyimbo ambazo hazina ujumbe wa mapenzi na ni hit kali sana.. Vipi kuhusu ‘Mwana’ ya Ali Kiba? 
‘Nani Kama Mama’ ya Christian Bella Feat. Ommy Dimpoz je?
 Time ya Star kutoka Uganda ni sasa, Bobi Wine leo ameachia video ya wimbo wake mpya unaoitwa ‘Paradiso’ .. Hapa anazungumzia umuhimu wa wazazi.
Afrika Mashariki inatambulishwa na lugha ya Kiswahili, lakini mara nyingi tunaona wasanii wa Uganda wakiimba lugha yao zaidi kuliko Kiswahili, time hii ‘Paradiso’ imeimbwa kwa Kiswahili. 

No comments:

Post a Comment