Kampeni kubwa anayofanya Lil Waye ‘Free Weezy’ yakujitoa kwenye mkataba mkubwa wa cash money records chini ya Birdman inaendelea. Lil Wayne ametoa video ya wimbo kutoka kwenye mixtape yake ya Sorry 4 the Wait 2.
Wezzy amefanya video akiwa ndani ya chumba chene umbo la jela na machuma yakimzunguka kuonyesha amefungiwa ndani ya record lebel ya cash money. Mashairi kwenye huu wimbo yanasema
No comments:
Post a Comment