->
HEADLINES

Monday, March 30, 2015

Redsan 
Ni star ambae anafanya poa sana katika muziki wa dancerhall Afrika Mashariki.
Redsan tayari ana jina kubwa kutokana na aina ya kipekee ambayo anaifanya, mara ya mwisho tumemsikia kwenye collabo aliyoifanya na Shaa toka TZ, safari hii kaja na single yake mpya ambayo amefanya na mkali wetu TZ, AY..
Wimbo unaitwa ‘Easy’, unaweza kuiplay hapa mtu wangu.. Hii ni moja ya collabo za wakongwe kwenye game ya muziki East Africa yani.


No comments:

Post a Comment