->
HEADLINES

Monday, March 30, 2015

Video ya Linah Feat. Christian Bella (Hello)…

lina 

Wakati Video ya Ole Themba’ yake Linah Sanga ikiwa bado inaendelea kufanya vizuri kwa sasa, ameamua kuachia Video yake mpya ya “Hello” aliyomshirikisha Christian Bella.
Mastaa wakubwa wa Muziki TZ wamekuwa wakitoka na kufanya video zao na madirector wakubwa South Africa, Ole Themba ya Linah ilirekodiwa huko pia.. Hii kaamua tu aifanye hapahapa Bongo.

 Nakukaribisha hapa kuitazama.


No comments:

Post a Comment